News

ATSO PRODUCT 03/27/2014 - 00:11
Kazi zetu: Hizi ni baadhi tu ya kazi tunazozifanya kituoni kwetu. Sehemu kubwa ya mafunzo na uzalishaji kwa vijana wetu
Mafunzo ya ujasiriamali SOCIAL CLUB 03/27/2014 - 00:01
Ni klabu ya vijana wanaojitolea kufanya kazi za kijamii: * Kuelimisha jamii kuhusu magonjwa ya kuambukiza * Utunzaji wa mazingira kama vile upandaji wa miti, utunzaji wa vianzo vya maji nk * Ujasiriamali nk
Home New Website 09/27/2013 - 13:17
Our new homepage is now online. It is still under development, but the direction is clearly visible. We want to provide information for interested people all over the world. In addition this is ment to be a sort of training for the computer class. This is just the beginning and social media sites will follow.